Saturday, May 28, 2016

MTUMBWI WAUA WATU WATANO KIGAMBONI BAADA YA KUZAMA


Jioni ya May 27 2016 kulitokea ajali ya Mtumbwi uliozama Bahari ya Hindi, watu waliokuwa kwenye mtumbwi huo walikuwa wakivuka kutoka soko kuu Feri kuelekea Kigamboni Dar es salaam. Mtumbwi huo unasadikika kubeba watu zaidi ya 16 ambao baadhi yao wametoka wazima.Siku ya jana Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lilifanikiwa kuwapata watu nane ambapo mmoja wao alipoteza maisha. kutokana na changamoto ya giza shughuli ya uokoaji iliahirishwa na ikaendelea leo May 28 2016 ambapo miili mingine ilipatikana na kufikia jumla ya miiili ya watu watano..


.


.

Chini kwenye video hii fupi ni Mratibu msaidizi wa Jeshi la Zimamoto, Bashir Mazehebi akieleza zoezi la uokoaji lilivyokuwa

No comments:

Post a Comment