Wednesday, June 7, 2017

Staa wa Liverpool ametangaza kuwa yupo Tanzania


Siku kadhaa baada ya staa wa zamani wa timu ya taifa ya England ambaye amewahi kuzichezea timu za Man United, Real Madrid, AC Milan David Bekcham kulaumiwa na watanzania kuwa amekuja Tanzania kimya kimya na hajatangaza kuwa yupo Tanzania.Leo June 6 2017 ikiwa ni siku moja imepita baada ya beki wa kati wa Liverpool na timu ya taifa ya Ufaransa Mamadou Sakho kuenea kwa picha zake kuwa yupo Tanzania, leo amethibitisha mwenyewe kupitia instagram yake kuwa yupo Tanzania na familia yake.


Sakho ambaye alikuwa kwa mkopo Crystal Palace amepost video akionesha ku-enjoy akiwa katika hifadhi za utaliii amekuwa tofauti na David Beckham ambaye alikuwa akipost picha pasipo kutaja kuwa yupo Tanzania"Thank you very much for the warm welcome here in Tanzania 👍🏿🙌🏿✨ #Safari #Holidays #SakhoFamily 📷 @majdasakho">>>Sakho

No comments:

Post a Comment